KMSS KILIMAHEWA MODERN SEC. SCHOOL Knowledge • Integrity • Excellence
NEWS

apply

Kilimahewa Modern Secondary School – Lango la Maombi

MAOMBI YA KUJIUNGA 2026/2027

Kidato cha Kwanza na Nafasi za kuhamia vidato vingine

Tsh 15,000 /= Gharama ya Maombi
Mwongozo wa Kulipa Ada ya Fomu
NMB Mkononi App
1 Fungua App ya NMB Mkononi
2 Weka PIN yako
3 Chagua Bill Payment / Lipa Bill
4 Chagua Other Bills / Malipo Mengine
5 Chagua Ebills Group / FlexMalipo
6 Weka Control Number Mfano: EBXXXXXXXX
7 Weka kiasi cha fedha (Tsh 15,000)
8 Thibitisha malipo
Mitandao ya Simu (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel)
1 Piga: *150*00# kwa M-Pesa, *150*60# kwa Airtel
2 Chagua Pay Bill / Lipia Bill
3 Weka Namba ya Kampuni: 888999
4 Weka Control Number Mfano: EBXXXXXXXX
5 Weka kiasi cha fedha (Tsh 15,000)
6 Weka PIN yako
7 Thibitisha malipo
NMB Wakala
1 Chagua Payment
2 Chagua Other Payment
3 Chagua Generic Biller
4 Weka Business Number: 100022
5 Weka Control Number Mfano: EBXXXXXXXX
6 Weka namba ya simu ya mteja
7 Chagua Next
8 Thibitisha malipo
MUHIMU
  • Hakikisha unaweka Control Number sahihi uliyopokea kwa SMS.
  • Hakuna haja ya kuandika Akaunti ya Benki ya shule wala jina la mwanafunzi.
  • Baada ya malipo, subiri code ya kuthibitisha itumwe kwako kupitia SMS.
THIBITISHA NA KUFUNGUA FOMU

Baada ya kulipa kwa kutumia control number yako, shule itakutumia CODE kupitia SMS. Ingiza hapa kufungua fomu ya maombi.

Enable Notifications OK No thanks